top of page


Wajibika, Endesha Kwa Usalama


Karibu katika Chuo cha Udereva Wide
WIDE INSTITUTE OF DRIVING ni chuo cha udereva kilichosajiliwa kutoa mafunzo ya katika ngazi ya mafunzo ya awali ( Basic Driving Course) na Magari ya Mizigo na kupewa namba ya usajili Reg. No. TRD/ A.21/26/VOL.VIII/20
Chuo chetu kipo Dodoma mjini pia kina matawi katika Mikoa ya Mwanza ( Nyamagana), Songwe (Vwawa), Dar es salaam ( Kigamboni) na Arusha Mjini
Maono Yetu
Kuwa chuo bora kinachotengeneza madereva bora nchini Tanzania
Mkakati Wetu
Kuhakikisha tunawafundisha madereva kwa kutumia nyenzo za kisasa, walimu bora na magari yenye ubora.
.png)
!!Karibu sana!!!
FAUSTINE MATINA
​
Mwanzilishi, na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wide ya Udereva
bottom of page