
Wajibika, Endesha Kwa Usalama


Kozi na Huduma Tunazotoa

Kozi ya Udereva Wa Awali

Mwezi 1 = Tshs. 255,000/=
Wiki 2 = Tshs. 185,000/=
Usajili = Tshs. 10,000/=
Hii ni kozi ambayo anajiunga mtu mwenye malengo ya kuendesha magari madogo.
Pia ikumbukwe kwamba hata anaetarajia kuendesha magari makubwa, kisheria ni lazima awe amepitia kozi hii ya magari madogo na kupewa cheti (Basic Certificate Of Driving)
Kozi ya Pikipiki na Bajaj

Wiki 2 = Tshs. 100,000/=
Usajili = Tshs. 10,000/=
Hii ni kozi ambayo mtu hujifunza kuendesha pikipiki au Bajaji. WIDE tuna vitendea kazi na walimu mahiri kwa ajili ya kozi hii.
Kozi ya Magari ya Mizigo (HGV)

Wiki 4 = Tshs. 450,000/=
Wiki 2 = Tshs. 350,000/=
Usajili = Tshs. 10,000/=
​
Kozi hii ni ya Udereva wa kuendesha Magari ya kubeba mizigo. Ili kujiunga na kozi hii dereva lazima awe amepata mafunzo ya Udereva wa awali na kuwa na leseni Daraja D isiyopungua umri wa miaka mitatu.
Pata Nukuu
Tuandikie Na Tutajibu Haraka Iwezekanavyo